Inategemea na Familia
- Kujipata Family analipa Mshua
Ila huku
- Unga Unga Mwana Njoo Tudensi Utamu wako Jilipie mwenyewe na wengine wanaungiwa mpaka na Wachumba zao ๐
Cha muhimu Mahari ilipwe ๐ค
@mayaijumla@maurine_mbuya Samahani kama uko dzm tunaomba uongee na shemu kwa mapenzi yake kwako, atuhamishie mto rufiji uje hata pale goba tusolve issue ya maji aisee.
Mm nikikupenda wala sina muda wa kutafuta maua wala hutoniona na maua ntakupa ambavyo hutegemei ntakuwa mtu wa mwisho kuamin kupitia sijui maua sijui vitu gani wakati kuna mambo unapaswa upewe kama #MIMBA ๐