@390_Siez@Gaspinho15 Kaka hiyo akili ya kunguni hata haiwez wazma hivyo
Yan ndio maan wanawake wengi wanaishia kudanga tu wakijua kuuza Kuma ndio mafanikio wakat hawajui kuna kuzeeka
@EsirEid Tajiri nilimwambia tangu tweet ya swali hawa Mungu anawaona kama ilivyokuwa kwa USA na genge lake la FIFA BOY bas yatatumia tu hat walifuzu hapa colombia anawatoa
@EsirEid Mungu fundi kaka, FIFA walichokifanya kufuta kadi nyekundu ya mchezaji wa USA sasa AIBU WATABAKI NAYO na WATAONA WAO na FIFA BOY wao kama walivyofanya kwa ALGERIA game ya ufunguzi๐ฎ๐๐
@Innocen89950594 Umekuwa TFF upange matokeo sio๐คฏ.
Huu ni mpira sio kampeni za CCM kuwa hata usipopiga kura wameshinda sawa kijana wala hii sio YANGA NA SIMBA ambazo zinatembea na matokeo mkononi sawa kijana wait till 90min ndo utajua kwamba huu ni mpira na bookmark these URENO ANASHINDA โ๏ธ.