Niwape story nyingine ya Nabii AYUBU? π
Ukisoma Biblia AYUBU 1:1, Biblia inasema Ayubu alikuwa mkamilifu na mnyoofu. π
Unajua kuwa mnyoofu wewe! Mungu alikuwa proud naye sana. Lakini kulikuwa wanoko π wakasema, Mungu huyu unamuona yuko hivyo kwa sababu umempa kila kitu.
Chukua hivyo vitu vyake uone kama bado atakuwa mwaminifu kama unavyosema, Mungu akaona isiwe kesi ngoja tuone
Ghafla utajiri ukaondoka, mali zikapotea, watoto wakafa, na Ayubu akapata maradhi makali ya mwili.
Halafu wale wale Ma snitch wakaanza kusema, Hapana, lazima huyu kuna dhambi kubwa amefanya, Lakini pamoja na yote hayo, Ayubu aliendelea kushikilia imani yake.
Ndipo katika AYUBU 1:21 tunapata maneno haya
βBwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana libarikiwe.β ππΎ
Guess what π Baada ya kipindi chote cha mateso na maumivu, Mungu alimrudishia Ayubu kila kitu, tena zaidi ya alichokuwa nacho mwanzo. Hapo ni AYUBU 42:10.
Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana. Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
Usikate tamaa katikati ya story yako. Mungu bado hajaandika mwisho wake. βΊοΈ
Nisikie Amen kutoka huku nyuma.
@danielmkisi2024@bahati_lusako Karanga ni mbaya kumbe?Mimi Nina BP na Kuna muda mapigo ya moyo yanakwenda Kasi hasa nikila Mikate au soda baadae inatulia.
Ndoto kubwa zinahitaji kujitoa kwa kiwango kikubwa.
Ukitaka Maisha yasiyo ya kawaida, lazima uwe tayari kufanya mambo yasiyo ya kawaida.
Huwezi kutamani Matokeo makubwa huku ukiendelea kuishi kwa kiwango kilekile cha Juhudi,Nidhamu na kujitoa.
Ndoto kubwa zina Gharama zake.