Maana yake hata Ajira zitahitaji SOLUTION PROVIDERS. Hazitatoa Ajira!
Na kipindi hiki ili utoboe, una unahitaji kuwa mtu wa Ibada sana na IMANI.
KUMBUKA:-
Bado tunapita JANGWANI,
Kisha tutapanda MILIMA,
Na mwisho tutavuka MTO,
Ndipo tutafika KONDENI.
SAVE POST HII ITAKUSAIDIA
@millardayo Dah so sad 😭😭 Yani wizara moja inaudumiwa na watu watatu kama mtanzania mwenye haki ya kikatiba ya kutoa maoni sijapenda hii kitu kwa kweli
Polisi jijini Dar es Salaam Tanzania wametawanya kundi la vijana waliokuwa wakiandamana katika eneo la Kimara Kibo, umbali wa kati ya Ubungo na Kimara, wakati huu wa uchaguzi mkuu unaoendelea nchini.
Maandamano haya ni sehemu ya mwitikio wa mitandaoni wa makundi ya wanaharakati na vijana wakitaka mageuzi zaidi ya kisiasa nchini Tanzania.
#Tanzania #uchaguzimkuuTanzania #bbcswahili #vijana #uchaguzi
JAMAA KAENDA KWENYE INTERVIEW, LAKINI AKAGEUKA KUWA CHINGA NA KUUZA FASTA! 😂
Siku moja jamaa mmoja alialikwa kwenye usaili wa kazi katika kampuni moja ya tech. Lakini kabla ya kwenda, akaamua aichunguze website yao... na boom! Akagundua haipo optimized vizuri – hata ukiitafuta kwenye Google, inajificha kama deni la siku nyingi!
Sasa siku ya interview ikafika. Jamaa akakutana na boss wa kampuni. Baada ya kuulizwa swali la “umetujuaje?” kijana akaingia kwa confidence ya simba wa Manyara, akasema:
“Boss, niliingia kwenye web ya kampuni lakini nimegundua tatizo la SEO kwenye website yenu. Ila kuna AI tool moja ukitafuta tu hivi Google, utaipata."
Boss akaingia kwa pupa Google, akasearch na kuinstall, na boom! Website ikawa optimized kwa dakika moja!
Boss akatabasamu kama mtoto aliyetolewa meno bila maumivu.
Lakini akamuuliza kijana:
“Sasa kama naweza kulipia hii AI tool mwenyewe na ikanifanyia kila kitu, kwanini nikuajiri?”
Kijana bila hofu akajibu:
“Utahitaji mtu wa kukusaidia kusubscribe!”😂
Wakati boss bado anashangaa, jamaa akamchomekea swali:
“Boss, nimepata kazi?”
Boss akajibu kwa furaha:
“HAPANA! Hakuna kazi, ila nimefurahi – nimenunua ofa ya mwaka mzima kwa dola 200 badala ya 1500!”
Yule kijana wa kwanza akatabasamu na kusema:
“Safi sana! Endelea ku-enjoy.”
Boss akabaki mdomo wazi:
“Mbona unanifurahia vile?”
Kijana akasema kwa utulivu:
“Mimi ni SALESMAN wa hiyo software. Wewe ni mteja wangu wa kwanza leo. Hii ilikuwa MARKETING STRATEGY YANGU.”
Akaongezea kwa tabasamu la kihenga:
“Baba yangu aliwahi kuniambia: ‘Ukishindwa kuwapiga… ungana nao!’” 😄
Boss akabaki anamtazama kama vile amepigwa na hacker wa roho.
Kijana akaondoka bila kazi, lakini na commission mfukoni.
MORAL OF THE STORY
Usichukulie kila mhojiwa kama muombaji... wengine ni wafanyabiashara wakubwa kwa hila! 😆
BE SMART 😅
Nilikua naionaga hii feature kwenye series za kikorea tu!
Mtu anatoka anaacha simu yake mlipo kumbe anawasikiliza akiwa na earpods zake kwa chumba kingine.
Leo nimeitest!🙆♂️
Nilichokuja kusikia, 🙆♂️🙆♂️😂
Video kwa Comments 👇