⚔️ Hivyo kimsingi The Originals Legacy bado ipo palepale 😅🤝🏽
TAMBARA LILIANZA 2013 LIKAKAMILIKA 2018
🎬 Streaming on:
Apple TV 📺 | Amazon Prime Video 🎥 | Google TV 🎞️ | iTunes 🎶 | MovieBox
Hii ni PROJECT ya ETERNAL BLOODLINE 🤝🏽
Project yenye Seasons 5 🔥 full of magic, betrayal & family wars…
Na ndani yake ipo Klaus Mikaelson (The Hybrid King 👑🐺🦇), Elijah (The Noble Brother 🤵🏽🩸)Rebekah (The Eternal Beauty 👠💋) na wengineo wakipigania urithi wao wa damu
ZUHURA/ ZUCHU/ ZUU/ LIONESS ~ PEACE & MONEY album 🎶🔥🔥🔥
👉🏽 Tarehe 20...Mwezi wa 12...Mwaka 2024, Historia inaandikwa katika kitabu cha Muziki wa ZUCHU, Album ya kwanza kabisa kutoka kwake 🤝🏽
Jina la Album yanasadiki yaliyomo, kabla sijafika mbali acha ninukuu moja ya Mstari uliowahi semwa na Kaka yake Mkubwa katika Lebo aliopo, ila kwa Sasa tunaweza sema ni Shemeji yake 😅.......HARMONIZE aliwahi kusema 👇🏽
"Moyo unapenda AMANI kwanza, kisha ndio vitu vya thamani hufatia".....Zuu katika hili amechukua Funzo kubwa sana
👉🏽Mapenzi yana pande mbili za Sarafu, Moja yanaweza vutia AMANI, pili yanaweza ifukuza AMANI pia.....Kwa ngoma kama 👇🏽
~Till i die🎶
~Mwizi🎶
~Lullaby🎶
~Cherie🎶
~Tinini🎶
Hizi ni ngoma za Mapenzi ambazo zipo katika Upande wa kuivutia AMANI zaidi, Maana humo ni Mapenzi Shalta Shalta tuu 👊🏾
👉🏽Ila Pia penzi likiwa Toxic sio kosa kuepukana nalo ili usiipoteze AMANI yako, ndio maana kuna ngoma kama "NIMECHOKA"🎶
👉🏽Wengi wetu Maji yakitufika Shingoni huwa tunarudisha Mpira kwa kipa {Wazazi/walezi} na ndio maana humu ndani kuna ngoma kama "MAMA"🎶
NB: AMANI ikisimama kwa 100% huwa inavutia PESA pia 👊🏾
Jina la ALBUM & yaliyomo ndani ☑️🔥
👉🏽Ni Album isiyochosha kwa Maana tunapata fursa ya Kumsikiliza Zuchu zaidi ya Mmoja humu ndani....
~Zuchu anaeimba sana
~Zuchu mwenye Vibe
~Zuchu mwenye kukivuruga
~Zuchu Mtulivu
~Halafu kuna yule Zuu tunaempenda Wengi.....Mwenye Madeko kiwango cha lami 😅🙌🏽
Kwangu mimi nimeiVerify.....Bonge moja la Album 10/10......Top 3 yangu kwa sasa 👇🏽
~Cherie🎶
~Lullaby🎶
~Mwizi🎶
ZUHURA/ ZUCHU/ ZUU/ LIONESS ~ PEACE & MONEY album 🎶🔥🔥🔥
@football4dot0 Cheating’s not about the excuses it’s about the character.
Blame the man all you want, but loyalty is a choice, not a reaction.
Stay real, or stay single.
👉🏽 Mwanetu Makabila bado anaendeleza utawala katika upande wa Contents, Hakuna Msanii wa Singeli anaemfikia kwa Contents na Uwasilishaji....
Katika huu upande tuna kila sababu za kumlinganisha na Waimbaji wa BongoFleva maana kule kwa Singeli anawaonea sana 🙌🏽.....
Anaifanya Singeli namna anataka na ni mojawapo ya Wasanii wa Singeli wenye uwezo wa kuwafanya mpaka wasioipenda Singeli wakamsikiliza tena kwa kumzingatia 👊🏾
👉🏽Hii ngoma yake ya "TUZO"🎶 Ni kalii sana, Naimani waliotajwa wote anawamudu kwa namna moja ama nyingine, Ama pia naimani ni watu wanaoijua Sanaa.....Vinginevyo sijui itakuaje 😂🙌🏽.....Kalii
"Dulla Makabila~Tuzo"🎶
#BrandNewSong
Moja ya kitu ALMAS kafanikiwa ni kuhakikisha kuwa, kila anapokaa mbele ya CAMERA na Mic....
Ni kuwaacha na kitu kitakachowafanya muendelee kumuongelea 😂
ACHA TU LEO NIINGILIE KAZI ZA WATU utanisahihsha ninapo kosea @DullahTheking2@TillahBlessed
Wabongo tunateswa sana na Mindset
Mbongo akifanikiwa lazima wekewe comparisons nying hatuwezi ku appreciate bila comparison
👇👇👇👇
Shuka nao chini huu uzi
"NAJIVUNIA KUWA MTANZANIA NA HII NDIO LOCAL PAKEJI YA DUNIA"🎶🔥
👉🏽Juzi kati pindi nimeipost ArtWork ya hii ngoma, kutokana na jina lake la "MBWA MWITU"🎶 90% za comments zilitabiri kuwa ni lazima iwe "Diss Track" na kama sio hivo basi ni kujisifia tuu 😅......Guess what???
Mwanetu amekuja kama "StoryTeller" humu ndani, ngoma ambayo inaelezea harakati za kijana anaetokea katika familia yenye hali ngumu kimaisha, kulingana na harakati za utafutaji akajikuta anatumia njia zisizo halali katika kujitafutia Riziki 🙌🏽
BONGE MOJA LA NGOMA AISEE, mwanetu LUFA amempendelea sana Beat 🙌🏽.....na nilichopenda zaidi ni lile funzo lililopatika katika dakika ya " 03:20 mpaka 03:40 " hapa LUNYA kaonesha ukuaji wa hali ya juu sana 🙌🏽
👉🏽Ndio maana nimeanza kwa kunukuu mstari wake "NAJIVUNIA KUWA MTANZANIA NA HII NDIO LOCAL PAKEJI YA DUNIA"🎶
CONTENT👉🏽LOCAL
PRODUCTION & STYLE👉🏽INTANESHINOO 🔥🙌🏽
🐐🐐
"Young Lunya~Mbwa mwitu"🎶
#ParachichiFM
Hii video ya "FEEL SOMETHING"🎶 Juzi niliiangalia kwa juu juu tuu, Stress zilikuwa ni nyingi sana....
Mida fulani pindi napita pita IG nimefanikiwa kukutana na Clip yake tena { Kile kipande pale kwenye kochi😋}.....kiukweli ikanibidi nirudi YOUTUBE kwanza kwajili ya kuizingatia zaidi 😅🙌🏽
Ila baada ya kuisha nikajikuta nimepata shauku ya kurudi miaka kama 8 nyuma, hapo unakutana na ngoma yake ya "BACK TO SLEEP"🎶......Video ya "FEEL SOMETHING"🎶 nadhani pindi wanaichora walikuwa wakiiwaza "BACK TO SLEEP"🎶 Vichwani mwao 🙌🏽
Naona inakaribia kufanana kwa kila kitu "Rangi & Setup" mule mule 😅
Olo ini olo video kalii sana, ila sio salama sana kwa mayatima wa mapenzi na wale ambao upwiru umewakaba koo 😅🚶🏾♂️
🐐🐐
"Chris Brown~Feel Something"🎶
#ParachichiFM