Wanawake waliowengi wameibeba vibaya dhana ya Haki sawa kwa wote. Hivyo wamepelekea familia nyingi kuishi bila baba. Na kwa wanaume kuwa na familia zaidi ya moja. Ni muda wa mabadiliko sasa.
MAFUTA SI MALI YA SERIKALI; NI MALI YA WATANZANIA. HIVYO, WATANZANIA WANA HAKI YA KUJUA.
Mafuta ni bidhaa ya kimkakati. Bei yake huathiri gharama za usafiri, uzalishaji, kilimo,biashara na hatimaye maisha ya kila Mtanzania.Kwa sababu hiyo, mchakato wa uagizaji wa mafuta unapaswa kuwa wa uwazi, ushindani wa haki na uwajibikaji.
Kwa maslahi ya umma, mamlaka husika zinapaswa kutoa majibu ya wazi kwa maswali yafuatayo:
1. Ni kampuni gani imepewa zabuni ya kuingiza mafuta nchini kwa sasa?
2. Zabuni hiyo ilitangazwa lini, ilitangazwa kwa utaratibu upi, na ni kampuni ngapi ziliwasilisha zabuni zao?
3. Ni vigezo gani vya kitaalamu, kifedha na kisheria vilitumika kumchagua mshindi wa zabuni hiyo?
4. Kampuni ya Namaro ni ya nani? Imesajiliwa katika nchi gani? Ina uzoefu gani katika biashara ya mafuta, na ilikidhi vipi masharti ya zabuni?
5. Je, kuna uhusiano wowote wa kibiashara, kimiliki au wa kimkataba kati ya Namaro, Oilcom na Vitol? Ikiwa upo, ni wa aina gani?
6. Mkataba huu utaongeza ushindani na kupunguza gharama za mafuta kwa wananchi, au utaongeza mkusanyiko wa nguvu za soko kwa kampuni chache?
7. Serikali imechukua hatua gani kuhakikisha kwamba mchakato huu unazingatia sheria za manunuzi, sheria za ushindani na unalinda maslahi ya Taifa?
Haya si maswali ya uadui. Haya ni maswali ya uwajibikaji. Serikali inayosimamia rasilimali za umma kwa uwazi haina sababu ya kuogopa kuyajibu.
Wananchi wanapouliza kuhusu namna biashara ya mafuta inavyoendeshwa, hawafanyi hivyo kwa sababu wanapinga maendeleo. Wanafanya hivyo kwa sababu mafuta yanagusa maisha yao kila siku, na wanataka kujiridhisha kwamba maamuzi yote yanafanywa kwa uwazi, kwa ushindani wa haki na kwa manufaa ya Taifa.
Uwazi hujenga imani. Ukimya hujenga mashaka.
@_zack255@SuluhuSamia Everybody will return, the question is How will you return. After all has happens hypocrite now remembers how to pray. Trust me, when this is over wewe ni mali yetu. We will eat you alive. Trust me everything will be paid, be strong enough to remember that. Who will save you.
@moodewji Waambie mkuu, Yani Tanzania nchi yangu ila mtu Muongo anaheshimika kuliko msema kweli. Hii ipo hadi makazini. Inasikitisha sana. Shusha moto Tajiri.