Pichani ni wafanyabiashara Kutoka Kariakoo Soko la Kimataifa tulipata wakati mzuri wa kuhudhuria Bungeni 14/5/2025 ikiwa ni siku ya uwasilishaji wa bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara na Mh Suleiman Jafo.
#BIASHARA NI MAISHA
Kitabu Cha Hadithi ya maisha yako kinabebwa na wewe ambaye ndiye mhusika mkuu; Watu watakuja na wengine wataondoka, hii haimaanishi hadithi yako haiwezi isha bila wao. Malizia hadithi yako kwani wewe ndiye mhusika mkuuโ๏ธ

Baba Mungu wa Mbinguni, nashukuru kwa rehema zako zisizo na mwisho. Leo, napoona siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu, ni wakati wa kukushukuru wewe kwa kila baraka na upendo ambao umetenda maishani mwangu.
Mafanikio siyo tu kuhusu juhudi zako, bali pia kuhusu watu unaoshirikiana nao. Kujenga mtandao wa mahusiano yenye manufaa kunaweza kufungua milango ya fursa
Pichani ni kamishina wa Tra na Naibu waziri wa viwanda biashara na Uwezekezaji baada ya Mkutano wa 10 wa jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania (JWT)
BIASHARA NI MAISHA๐น๐ฟ๐น๐ฟ