ISAYA 53;4-5
4 Hakika ameyachukua masikitiko yetu,Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa. 5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake,Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona
Tundu Lissu; Wakati wa Mkapa
Nilikamatwa tarehe 23 December 2002
Siku mbili kabla ya Christmas kwa kosa la uchochezi. Wanazungumza sana Uchochezi watu hawa.
Sababu gani.?
Kwa kuongoza kampeni ya kudai mauaji ya Wananchi wa Bulyanhulu yachunguzwe baada ya watu zaidi ya 60 kufariki
Kwa kudai mauaji haya yachunguzwe nikakamatwa nikapelekwa makao makuu ya Polisi shimoni
Pale chini kuna gereza linaitwa shimoni pale wanajaza watu wengine wanakaa miezi
Kwa bahati nzuri nilikuwa maarufu wakanipeleka Mahakamani siku ya Christimas
MAHAKAMA; π€£ππ€£ππ€£ππ€£π
Muuaji hawezi kupata nafasi nyingine ya kuua tena na muonevu hata pata nafasi ya kuonea wala kutesa watu , tuna mambo mawili ya kuzingatia ktk ujenzi wa uhuru wa kweli,demokrasia na haki.Mambo hayo ni kuwa tiyari kulipa gharama yoyote wkt wote ktk kulinda heshima zetu na malengo muhimu kwa Nchi yetu.
Sisi ni washindi wakuu ktk kila hatua na kama kuna kusudi baya juu yetu, basi kuweni na amani sana kwamba hawatafanikiwa hata kwa nukta moja.Kila kikao kitakacho kaa kwa mipango mibaya kitasambaratika na wapangaji mtawatafuta na wala msiwaone.Naona mna wasi wasi kwa sababu ya historia.Kuweni na AMANI sana mjue Mungu yuko kazini na sisi tuko na imani ya kuwashinda waovu wote bila kuangalia nafasi zao.
PASAKA NJEMA.
1 Samweli 12:21-22 (KJV)
21 Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili,
22 visivyoweza kusaidia wala kuokoa, kwa kuwa havifai kitu. Maana Bwana hatawaacha watu wake kwa ajili ya jina lake kuu; kwa kuwa imempendeza Bwana kuwafanya ninyi kuwa watu wake mwenyewe.
*Isaya 48:17*
Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata.πMungu wetu ni Mwema sana tumtukuze.Amen
*Zaburi 41:1-2*
Heri amkumbukaye mnyonge; Bwana atamwokoa siku ya taabu. Bwana atamlinda na kumhifadhi hai, Naye atafanikiwa katika nchi; Wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake.