1. I can do hard things.
2. I am always learning and growing.
3. I am intelligent and capable of finding solutions, no matter the problem.
4. I am loved; it is safe for me to share and receive love with others.
5. I trust myself and my life. This is all serving my highest good.
@ayubu_madenge Spain tangu walipocheza na Portugal ilionyesha ni Timu ambayo haimpi mpinzani nafasi ya Kumiliki mpira. Mechi zote imeruhusu Goli Moja TU. Kidunia inashika nafasi ya pili na kwa ubingwa huu itaenda kukaa nafasi ya kwanza. Isifieni kwa Ubora msilete stori za Argentina kubebwa
@Roma_Mkatoliki Ukitazama utagundua sekta nyingi now zinaongozwa na vijana wadogo.
1. Walimu
2. Askari
3. Ma professor
Kuchelewa kuanza shule kwa vizazi vilivyopita miaka ya 1980 Kurudi nyuma. Kuliwachelewesha sana wakajikuta wanapata kazi age imeshaenda. Sikuhizi lakwanza anaanza na Miaka 4
@ArsenalBoy8@Roma_Mkatoliki Namshukuru Mungu Uwezo wangu wa kukumbuka matukio mkubwa sana nakumbuka vitu vingi vilivyotekea tangu nikiwa na miaka mitatu.
Nikiwasimulia Wazazi wangu Huwa wanabaki wakishangaa.
@ally_eh Kama ni Wana Kila mmoja alitakiwa amen makini asiguse maslahi ya mwenzake.
Ila yule mmoja kawaanza Waenzake.
BTW Kila Kitu kina mwisho wake Kuna time itafika mbanga zitapoa. (Nakumbuka Kuna time washawahi washiana moto π₯ ila vita haikuzidi saa 12πππ)
@fbuyobe Pamoja na Magumu yote nayopitia
Kila Kona haoni msaada.
Kuna muda akitazama maisha yake ni kama haoni chochote kikisonga.
Anajaribu kumwomba Mungu
Shetani naye anamzidi speed.
Anajaribu Mapenzi, yanamtia uchizi.
Na Akifeli Dunia haitaki kumtambua. Inamchapa Tu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa Kiongozi yeyote asiyetanguliza maslahi ya Watanzania hawezi kudumu katika Uongozi, akisisitiza kuwa Uongozi bora unahitaji uwajibikaji, nidhamu na kujali Wananchi.
Dkt. Nchemba, amesema hayo Mkoani Iringa wakati wa shughuli ya kumuaga aliyekuwa Kiongozi wa muda mrefu, marehemu William Lukuvi, ambaye amehudumu kwa zaidi ya miaka 25 katika nyadhifa mbalimbali za Uongozi Serikalini.
Aidha, ameoneza kuwa marehemu Lukuvi alikuwa mfano wa kuigwa kutokana na nidhamu yake ya juu katika utendaji wa kazi, jambo lililomfanya kuwa bora katika kila nafasi aliyopewa kuongoza. Amesema wakati wote wa uhai wake, Lukuvi alihakikisha anatanguliza maslahi ya Wananchi, hali iliyochangia kuimarika kwa utulivu na maendeleo katika maeneo aliyoyahudumia.
Aidha, amesema katika kipindi chote ambacho marehemu Lukuvi alikuwa hai, hakukuwa na vurugu katika eneo lake la Uongozi, akieleza kuwa hiyo ni matokeo ya uongozi unaojali watu na kusimamia haki, na kusisitiza kuwa Viongozi wanapaswa kujifunza kutoka kwa mfano huo ili kuhakikisha wanadumisha amani na mshikamano Nchini.
#MillardAyoUPDATES.
@rollymsouth Denge ni mmoja wapo ya masnich walio divert attention oktoba,
Ulichofanya ni ngumu kusahaulika kwa vijana wenye Uchungu na Taifa hili. binafsi itachukua muda sana kufuta kumbukumbu ya Ungese uliotuletea mamae.
@fbuyobe Sativa na Taivina ni wakamaria kitambo.
Kabla hata hawajawa maarufu humu.
Na Affiliate ni Mfumo halali wa marketing.
Humu ndani washaibuka sana mapimbi walioikandia betting na Wote muda ulipofika walipotea kama alivyopotea FirΓ uni. Africa na betting ni Pete na kidole.
@mafolebaraka Ukitazama maisha kwa umakini utagundua Kila Kitu ni kama betting TU.
Unaweza ukasoma kwa bidii
Ukalima kitaalamu
Ukafanya kazi kwa bidii na Usitoboe. Ni kama tunabeti TU kwenye Kila Kitu.
ACHENI KUPIGIA KELELE WATU WASIBETI.
Bora muwasisitize wabet kistaarabu
@godbless_lema Vuta Picha wewe ni Rais kwenye Nchi Yako unajiita mkuu wa majeshi unatesa watu Unajiona una immunity ya kufanya chochote. Mara ghafla maeneo zaidi ya 6 katika majiji Yako makubwa yanashikiliwa. Ghafla unaambiwa Upo Chini ya Ulinzi Tuondoke. Aa mamae Dunia ya Moto Kwa Kila kiumbe