Dear wafalme,
Nimemuona Messi kwenye ubora wake 2009 - 2015 na bado nikamchagua Cristiano Ronaldo ni GOAT.
Kama sikubadilisha mawazo kipindi hicho, usitarajie nitabidilisha mawazo kwa kucheza na Algeria, kumuonea Uholanzi, Cape & Misri
NB: Adidas ni Sponsor wa FIFA & Messi.
Chochote unachotaka kutoka kwa watu wengne lazima ujipatie wewe kwanza.
.Ukitaka upendo ,jipende kwanza
.Ukitaka furaha, kuwa chanzo cha furaha yako kwanza
.Ukitaka heshima, jiheshimu kwanza
.Ukitaka amani, jipatie wewe kwanza
.Ukitaka support ya kweli, onesha jitihada kwanza.
Arsenal in UCL recently
2023/2024- Quarter finalist
2024/2025- Semi finalist
2025/2026 - Runners up
Haters see loss.We see progress ,getting better & closer.