Kuna a bible verse nimeisahau, watu walimuomba Mungu apigane vita yao, nae aliwajibu, nendeni mkam face adui nami nitawapa nguvu ya kumshinda.
Mungu anataka akukute kwenye mchakato sio umekaa kaa tu kama mbuzi.
Dayalisisi (Figo)
Chemo & Mionzi (Kansa)
Gharama kubwa za haya matibabu, imesababisha kuchukua uhai wa ndugu zetu wengi mno!!
Bado wapo wengine wengi wapo vitandani sasa wanaugulia.
Bado wapo wengine wanatembea wakiamini ni wazima, lakini bila kujua tayari wanayo haya maradhi.
Siku zinavyozidi kwenda, ongezeko la waathirika wa maradhi haya linakuwa kwa kasi kubwa mno!!
Huku vifo vingi vikitokea kwa sababu ya kushindwa kumudu gharama, na kutofika vituo vya afya mapema na kwa wakati sahihi!!
Tutaendelea kupoteza kundi kubwa sana la wapendwa wetu💔
kama hazitafanyika jitihada kubwa kupunguza gharama za matibabu na kuongeza elimu (Awareness) kuhusu afya zetu (Lifestyle), Checkup mara kwa mara!!
Kati ya kundi linalokuja kwa kasi na halilizungumziwi ni hili la wanawake wanaoitana kwenye vikao na kuanza kuwafundisha wanawake wengine ujinga "usimuonyeshe mumeo mali zako coz wanaume ni matapeli" wewe mmeo unamuona kabisa anaipambania familia yake unabeba ushauri huo🙌🏾
🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
❌ TSh 294,320 kila mwezi
❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
Tumefika mwezi wa kati kati ya mwaka. Tuache huzuni za jana, tujifunze kutokana na makosa ya jana na tuanze safari mpya ya matumaini. Mungu atutangulie katika kila hatua na tutatumia vizuri hii nusu ya mwaka uliobaki kujiinua
Hii nchi wajinga sana ule Mradi wa BBT wa BASHE ulitakiwa kulenga vijana wote walioko JKT na waliomaliza JKT na kuwawezesha zaidi kwa kuwapa hiyo mitaji na kufanya kilimo cha ajabu sasa wakaenda kufanya upigaji usiokua na tija BASHE ni mwizi mkubwa sana