Je unahitaji kujua zaidi juu ya Elimu ya kazi ulimwenguni? Kumbuka masuala ya Wsfanyakazi ni taaruma. COTWU (T) inakuleta fursa tajwa hapo juu. COTWU (T) - Mwanachama kwanza. https://t.co/PmSQMqPRq2
Je wewe ni Mfanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi (Usafirishajia) Tanzania? Jiunge na Chama Cha COTWU(T) Kwa huduma bora na maisha yenye Staha Kazini. Wasiliana nasi Kwa ushauri na Maelezo ya Ziada. https://t.co/988Gda1z2c
COTWU (T) inaendelea na VIKAO VYAKE VYA KIKATIBA JIJINI DODOMA yaani Kamati ya Utendaji na Baraza Kuu Katika Hotel ya FOUR POINTS DODOMA, Dondoo za Vikao hivyo zitakujia baadaye katika kurasa hizi cha Chama. https://t.co/4ptoMOnuvq
COTWU (T) Imeshiriki Semina ya Vijana iliyoandaliwa na SHIRIKISHO LA VYAMA vya Wafanyakazi TUCTA iliyofanyika katika Ukumbi wa MAMLAKA YA AFYA NA USALAMA KAZINI (OSHA) - Dar es Salaam. https://t.co/S5g8yuxzob
Katika Picha ni baadhi ya Wanachama wa COTWU (T) katika Kikao maalumu cha Tathimini juu ya Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi katika Hotel ya Golden Turip Jijini Dar es Salaam. https://t.co/KrxkpWgVxu