THE KARIAKOO DERBY WAS ELECTRIC! ⚡ Clatous Chama just committed a technical crime! Gravity was clearly optional today-a world-class acrobatic finish to silence the rivals.
Is this the goal of the season? Let us know below! 🌠
#KariakooDerby#SimbaSC#Chama#Puskas
Clatous Chama's incredible goal for Simba in Dar es Salaam's Kariakoo Derby 😱.
But NBC Premier League leaders Young Africans fought back from a two-goal deficit to draw 2-2 and maintain their five-point lead.
🚨🚀| Stop what you’re doing and find a replay of this Clatous Chama strike.
An acrobatic worldie just 9 minutes into the Kariakoo Derby in the Tanzanian League?! 🤯🇹🇿
Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Upendo Nkone leo Aprili 23, 2026 amekabidhiwa gari jipya aina ya Toyota Harrier Jijini Dar es Salaam ikiwa ni zawadi kutoka kwa mashabiki na wapenzi wa huduma yake.
Hatua hiyo imekuja baada ya kampeni maalum iliyoendeshwa na wadau mbalimbali kuchangisha fedha kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika jamii kupitia nyimbo zake zenye ujumbe wa faraja na matumaini kwa miongo kadhaa.
Wakati akipokea zawadi hiyo, Upendo Nkone alishindwa kuzuia hisia zake na kujikuta akilia kwa furaha mbele ya Mashabiki wake waliojitokeza kushuhudia makabidhiano hay ambapo Akiwa anatokwa na machozi, ameeleza kuwa hakuwahi kufikiria angeonyeshwa upendo mkubwa kiasi hicho na amesisitiza kuwa muitikio wa watu waliojitokeza kumsaidia umempa nguvu mpya ya kuendelea na kazi yake ya Kumsifu Mungu.
#millardayoUPDATES