Umemkosa Ilunga Khalifa aka @Cpwaa kwenye TV? Link hii hapa ya kuskiliza mazungumzo yetu kwenye #Podcast
Tafadhali Enjoy!
@YahStoneTown
https://t.co/wWo0IPoKBe
“Nilipoanza muziki baba yangu hakunielewa lakini kwa taaluma yangu darasani ilimfanya awe na fahari na mimi. Ni muhimu kunyanyua kipaji cha mtoto maana inaweza weka chakula mezani lakini pia elimu ni muhimu kuangaliwa.”- @Cpwaa#SalamaNaCPwa@YahStoneTown@EceJay
“Muda mzuri kwangu ilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu 2010 tulikuwa tunafanya presentation mbele ya viongozi wakubwa nilikuwa nina wasiwasi lakini baada yakufanya kilichotupeleka tulipigiwa makofi na Rais Kikwete alitusifia.”- @Cpwaa#SalamaNaCPwa@YahStoneTown@EceJay
“Mimi ni mchoraji mzuri sana. Nilianza muziki niko form two Mbeya Sekondari kabla hata bongo fleva haijazaliwa. Nilikuwa very smart darasani nilimaliza form four division 1 ya 7. Hii ni kutokana na uwazi Baba yangu alinipatia.”- @Cpwaa
“Mama yangu ni msukuma Baba yangu ni mrangi. Nimezaliwa Geita lakini nimekulia Tanga, Geita, Mwanza, Dodoma na Dar es salaam. Wazazi wangu waliachana nikiwa nina miaka miwili.”- @Cpwaa#SalamaNaCPwa@YahStoneTown@EceJay
“Muda mzuri kwangu ilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu 2010 tulikuwa tunafanya presentation mbele ya viongozi wakubwa nilikuwa nina wasiwasi lakini baada yakufanya kilichotupeleka tulipigiwa makofi na Rais Kikwete alitusifia.”- @Cpwaa
“Marehemu Ngwair nlivyokutana nae nilimuelewa sana alikuwa na kitu cha tofauti. Na yeye ndiye msanii wa bongo niliyemshirikisha kwenye ngoma zangu nyingi.”- @Cpwaa
“Inabidi watu waweze kukubaliana na vitu. Mifumo inabadilika, lifestyle inabadilika. Maendeleo yanakuja kupitia mtu yeyote haijalishi awe na nywele au kipara.” - @Cpwaa#SalamaNaCPwaa@YahStoneTown@EceJay