On this Sunday flashback, we revisit the rise of Msafiri Kondo, widely known as @solothang, one of the early defining voices of Tanzanian hip hop and Bongo Flava.
https://t.co/NPA5oTLHQz
Imagine being us. Hapa ni Katoro – Geita. Hapa ni mkutano wa kwanza wa oparesheni #KatibaMpyaFreeTunduLissu. Wananchi wa Katoro wamefurika kwa wingi sana katika viwanja vya Satelite kusikiliza nondo za viongozi wa CHADEMA. Kituo kinachofuata ni Kahama – Shinyanga. #PeoplesPower
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.