Kwamba UNJU achane ma verse mapya ili a-prove nini yaani au amuoneshee nani kwamba yeye ni mkali?
Hiyo fanyeni nyie mlionza RAP juzi aisee...TUHESHIMIANE maana vi EP vyenu vinne havifikii mixtape yangu moja sio ALBUM.
Busta Rhymes amechana nyimbo zake zile zile za zamani au ile verse ya "Look at me now" kwenye interviews ngapi?Shindaneni wenyewe pia jitahidini basi hata muwe na verse moja moja za maana zinazojulikana,maana mimi naanza kurap wengine mlikuwa MASHABIKI tu
Nina miradi binafsi 13 mpaka sasa na wa 14(Kisu Cha Buchani)unakuja achana na ile ya TAMADUNI na Kikosi Kazi na Sisi The Trio.
10 ALBUMS
2 MIXTAPES
1 EP
Wewe unayetaka verses mpya kwenye kila interview kasikilize hizo kazi utakutana na verses kibao ambazo hujawahi kuzisikia.
Iโd really love to see @NikkiZohan take the podcast route. He has the authentic street wisdom & articulate delivery, in the podcast form that would cut through like crazy. Imagine hearing his raw thoughts weekly?? I mean that would spark convo after convo after convo โฆ
Tarehe 23/08/2025 TUKUSA FESTIVAL itakuwa ZANZIBAR PAJE BEACH:
VENUE:BENTO
Hakuna Kiingilio pia utapata Machata Ya Unju kuanzia Hoodies/Pullovers na Tshirts bila kusahau ALBUMS/MIXTAPES na EP.
Shukran kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ushirikiano na upendo mlionionesha hususan kipindi hiki kigumu kwangu cha kuondokewa na baba yangu mzazi Mzee John Marwa Machuche.
May the mother nature grant you with abundant blessings.
#ASANTENI_SANA#HIPHOP