@NiiteSonga Ma super EMC tunashuka namna hii
Nasiyo wewe kapuka unaekuja pupa kama fally
Situka B siyo unakutupuka na fashion
Utanyukwa watuka RIP
ET Mimi balaa ndo mitaa inavyosema
Nitabaki shujaa kama vile star kwenye sinema ... @pmawenge
FINALLY!!!!!!!
@pmawenge ft Rich Kiss - #BAWABA (Bahili Wa Bata)
Is Out On Youtube
https://t.co/prQF4xLp84
Audio prod by @dadyagain
Video dir by @director_lam
Thanks To:
Editor @wakaoriginal
Setup Design @officialmzazi1
@baba_mkwee_og
Graphics @grafixtz
UNGENAMBIA by @pmawenge
Sanaa Iliyojaa Uhalisia na Ukamilifu
Hili ni ๐ฅ! Ungenambia si tu ngoma bali ni safari ya hisia, uhalisia na ujuzi uliokomaa!
Kutoka kwa @pmawenge, huyu jamaa anaupa muziki maana mpya. Mdundo wake umekaa kisanii, flow Zimepangwa kwa ustadi, na ujumbe
@pmawenge Si tu burudani kazi zenu zinagusa mioyo, zinatoa ujumbe wenye nguvu, na zinaacha athari ya kudumu. Mnazidi kuonesha kuwa muziki si kelele tu, bali ni sanaa yenye maisha na hisia. Mbali na hilo pia hata jinsi mnavyo socialize na jamii mtaani nadhani ni somo kwa wasanii wengine.