Nani kaiba vijiko ๐ฅ?
Basi unaambiwa Zai kijiwenongwa kaitwa kituoni kujibu mashtaka, kamkuta Bi Star na Dr. Almasi sura mbuzi ๐ก wanataka kujua nani kaiba vijiko. Mara paap, simu inaita ๐ฒ โฆ๐ต๐ช๐ญ๐ช๐ญ๐ช๐ต๐ช๐ญ๐ช๐ญ๐ช๐ชโฆkupokea tu anakutana na Habari za ushindi.
@mbarr0@mbarr0 Habari, pole sana kwa changamoto hiyo, tafadhali tutumie majina yako kamili, akaunti namba yako, tarehe ya muamala, kiasi cha muamala na namba yako ya simu inayopatikana inbox kwa msaada zaidi. #SwahibaNaWeweUmo#CrdbBank #Tunakusikiliza^Love
@aziz_carter Hello, thank you for contacting CRDB Bank, What you truly deserve is excellent service, like a bank that listens to and cares for the customer very much. We have received your feedback for further improvement of our services. We are very grateful for this feedback #CrdbBank #Tunakusikiliza ^Amani
@Kisendi7@Kisendi7 Habari, pole sana tafadhali tunaomba tupatie akaunti namba yako, majina kamili, na namba ya simu kupitia ukurasa wetu wa DM kwa msaada zaidi. ^Lucy
@Dr_Msabi@Dr_Msabi Habari, kuhusu malipo ya serikali hasa ya maji kumbu kumbu namba inakuwa imetengenezwa hivyo ili uweze kufanya malipo unatakiwa kulipa fedha yote. ^Neema
@mamito1111@mamito1111,Habari pole sana kwa changamoto hiyo. Tafadhali tutumie majina ya akaunti, akaunti namba na namba yako ya simu inayopatikana kwa msaada zaidi.^Leticia L
Hakunaga tarehe ngumu
Ni wewe tu hujajiunga na akaunti ya Mshahara ya CRDB inayokupa Salary Advance muda wowote
Pata Salary Advance hadi 50% ya mshahara wako
Faidi Mkopo wa haraka hadi shilingi Milioni 200
Tumia SimBanking na TemboCard
#crdbsalaryaccount#crdbbank
#tunakusikiliza
@juliusmoshi3@juliusmoshi3 Habari, pole sana kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe unapata changamoto kupata OTP kwenye huduma gani kwa msaada zaidi.#SwahibaNaWeweUmo#CrdbBank #Tunakusikiliza^Love
Kumbukumbu Adhimu
Mwaka 2008, Benki yetu iliandika historia kwa kuzindua matawi yanayotembea 'Mobile Branch' kusogeza huduma mahali ambapo hakukuwa na matawi ya kawaida.
Leo hii, Benki ina matawi haya yanayotembea 12 ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya dhati ya kuwafikia Watanzania popote pale walipo.
Hii si huduma tu ni safari ya ubunifu, fursa, na ujumuishi wa kifedha unaogusa maisha ya watu kila siku.
#CRDBBank
#CRDBAt30
#30YearsAnniversary
@Ten_august255@Ten_august255 Habari, pole sana kwa changamoto hiyo. Tunapenda kukufahamisha kwamba hakuna changamoto katika huduma ya Simbanking App tunakushauri kusasisha (update) huduma ya Simbanking kisha utaendelea kutumia huduma. ^Lucy
@McinikaWaLamar Kiwango cha chini cha uwekezaji ni TZS 500,000 au 1,000 USD (Dola za Kimarekani) na kuendelea, hakuna kiwango cha mwisho cha juu cha uwekezaji.Kiwango cha faida kwa TZS ni 12% kwa mwaka na Kiwango cha faida kwa USD ni 6% kwa mwaka, kitalipwa kila robo mwaka (mara 4 kwa mwaka) kwa muda wa miaka 5.
@McinikaWaLamar@INFLUENCERjr@McinikaWaLamar Habari, CRDB Al Barakah Sukuk ni aina ya uwekezaji wa hati fungani (au bond) iliyoundwa chini ya kanuni na utaratibu unaozingatia utaratibu wa uwekezaji unaofata misingi ya shariah (halal) ambapo muwekezaji atalipwa faida na sio riba.
@INFLUENCERjr ndio inaruhusiwa kabisa ,Sukuk ni neno la kiarabu linalomaanisha hati fungani zinazozingatia misingi ya sharia za miamala ya kifedha ya kiislam. CRDB Al Barakah Sukuk ni aina ya uwekezaji wa hati fungani (au bond) iliyoundwa chini ya kanuni na utaratibu unaozingatia utaratibu wa uwekezaji unaofata misingi ya shariah (halal) ambapo muwekezaji atalupwa faida na sio riba. Kiwango cha chini cha uwekezaji ni TZS 500,000 au 1,000 USD (Dola za Kimarekani) na kuendelea, hakuna kiwango cha mwisho cha juu cha uwekezaji.Kiwango cha faida kwa TZS ni 12% kwa mwaka na Kiwango cha faida kwa USD ni 6% kwa mwaka, kitalipwa kila robo mwaka (mara 4 kwa mwaka) kwa muda wa miaka 5. CRDB Albarakah sukuk ni kwa watu wote na sio lazima uwe muislamu, wote mnakaribishwa. ^Glady
@IssaKhatib49722@kabaga04@IssaKhatib49722 Uwezo wa kuchangia gharama za manunuzi ya pikipiki kwa 20% na uwe na uwezo wa kulipia bima ya chombo cha moto na bima ya mkopo.^Nasra
@IssaKhatib49722 Habari,ili uweze kupata mkopo wa/Bajaji, unatakiwa uwe na uzoefu wa kuendesha biashara ya bajaji,uwe na umri wa miaka 21 au zaidi,ujidhamini mwenyewe kwa mali zako au udhaminiwe na kikundi za bajaji kilichosajiliwa au mfanyakazi/mfanyabiashara anaetambulika na benki,uwe na TIN na leseni ya kuendesha bajaji.
@mpelelezi_mkuu,Jinasue ni huduma ya mkopo unaopatikana kwenye simu, ambayo mteja anakopa kulingana na mzunguko wa miamala ya kwenye akaunti kwa riba ya 5% ndani ya siku thelathini. Huduma hii ipo kwenye maboresho kwasasa inatolewa kwa waajiriwa ambao mshahara wao unapita CRDB. #SwahibaNaWeweUmo#CrdbBank #Tunakusikiliza. ^Leticia L
@askariwahovyo@askariwahovyo Habari,tafadhali tupatie akaunti namba yako,majina yako kamili,kiasi cha makato uliyokatwa na tarehe katika kisanduku cha jumbe kwa msaada zaidi.^Nasra