@Jambotv_ Nibusara kukaa kimya kama huna chakungumza maana tayari jamii inaheshimu weledi ulionao ilakwakuwa tasnia ya habari imebakwa kwasasa hayo ndio matokeo
@CRDBBankPlc@kabaga04 Sijajua gharama ya bima ya chombo nishingapi kama nilivyukueleza mwanzo uwezo wakutoa asilimia 20% ya fedha ya manunuzi ya guta hvo nieleweshe kwenye suala zima la hiyo bima