Founder, Sokomoja| Improving Manufacturing Access Across Africa | Manufacture Your Product Without Owning a Factory. Strategic Partners & Investors π₯
Sokomoja helps entrepreneurs and businesses turn product ideas into finished products without owning a factory. From product development and prototyping to manufacturing, quality control, packaging, and delivery, we manage the process for you.
@kaka_puti@Big0047 Peponi napo panahitaji maandalizi mtu awe mtu wa ibada kweli kweli mambo mema, asaidie wanaojiweza,ππ hivi hivi tu uingie bure kisa duniani ulikia maskini. Ingekua hivo basi misikiti na makanisa yasingekua na maana na watu wasingetafuta utajiri ππ
@kaka_puti@Big0047 Yani mizani ya maskini iwe juu kuliko mtu aliekuwa analisha familia 10000+ πππ aya bwana. me nachojua mwenye nacho huongezewa iwe duniani iwe huko peponi
@bajabiri Hio TAUSI Mpaka utoboeπ sio poa sasa mfumo unasomana na nida lakini process zake mpaka kuingia jau. Na ukisahau tu password acha tu siku hiyo subiri siku nyingine au baada ya wikiπ
@DaimuManafi Sahihi kabisa ila product yake aliyonayo sasa hivi market imesha shift.ningekua mshauri wake ningemwambia tutoe vile viguta vidogo vya umeme kama vya wahindi.akitoa hizo leo, kesho demand yake ni kubwa sana ukilinganisha na kirikuu za umeme maoni yangu ndo hayo wakuuππ
@MichaelMwebe@iamNehemia@mti_wa_mpingo Sisi solution ipo nakukaribisha mkuu
Solution yetu inakusaidia kuanzisha bidhaa yako bila ulazima wa kuwa na kiwanda(launch your product without owning a Factory) tumezingatia hilo kundi ambalo umetajaπ karibu
@MichaelMwebe@Positivenga1@DawaMkononi Kufeli kwa kampuni na biashara ni kawaida kqa biashara zote.hizo walizo raise ni pesa ndogo sana issues infrastructure wao ku shut down haimanishi wamefeli so hapo mtu anaweza kununua biashara yao akaendelea nayo na ikafanikiwa zaidi
@MichaelMwebe@Positivenga1@DawaMkononi Startup gani kubwa duniani Imetoboa bila uwekezaji mkubwa wa watu wengine? Au maana yako ya startup ni ipi boss π mtu ateseke miaka mingi ili aonekane kasimama peke ake?π