BRO TO BRO
Kama umefika sehemu maisha yanakupiga ile mbaya, acha pride. Njaa haijali una ego kubwa kiasi gani.
Hakuna kuona aibu Fanya kazi yoyote halali hata kama ni vibarua. Heshima ya kweli haipo kwenye kuonekana fresh, ipo kwenye kujitoa na kupambana.
Watu watapiga kelele, watasema chochote kuhusu wewe… lakini kesho wakiona umetoboa, watanyamaza.
Kumbuka maneno ya watu hayalipi Bill, Wala hakuna atakayekuja kukuokoa. Ni wewe na maamuzi yako. Ukikaa ukingoja huruma ya dunia, utaumia peke yako.
@earadiofm Hela Zinakupwa kuwekeza katika mambo ambayo hayagusi mwananchi mmoja mmoja Sasa mvua zikikata mwaka itakuwaje, invest katika modern water treatment and recycling system, many big city do it jamani
@spana_Konki Aisee is so sad,kwao huwa hayakatiki kiufupi shidah tunazopitia wao hazijawahi kuwa shidah ndio maana huwa wanashangaa raia wakitoa ya moyoni
@utdforever7@ManUtd@premierleague Now I believe if he can switch tactics until he is backed with strong midfield his 343 can work but for now he needs to accommodate players by being tactical enough in each game with different approach so that our opponents can't outsmart us in midfield every game
@utdforever7@ManUtd@premierleague During ten hag era we depend on shit players like rashy,martial injury prone , goat Antony ball dancer no effect, garnacho he runs to nowhere our midfield was at least decent with Scott and Bruno but now how front 3 are premier league proven players who want to prove something