PATA MSAMAHA WA KODI (ZERO TAX) KWA KUFANYA HIVI.
Msamaha wa kodi ni KIFUNGU cha SHERIA kinachoruhusu watu fulani au mashirika kuepuka kulipa kodi kwa mapato au mali zao zote au sehemu
Ngoja nikupe mbinu ya kupata Misamaha ya Kodi.
Itakayo kusaidia kesho na keshokutwa
Kuna muda nikisoma Historia ya Mtu Mweusi (Afrika) nabaki kucheka kama sio kutahamaki. Kipindi Vasco Da Gama (Mreno) akianza safari zake za kuitafuta ilipo China miaka ya 1497s na kufanikiwa kufika Cape of Good hope (South Africa) idadi...✍️👇