Picha za CEO wa The African Princes Music Label, Nandy kwenye usiku wa #20YaKing.
Nandy ameshiriki kwenye safari ya miaka 20 ya Alikiba na wamefanikiwa kutengeneza nyimbo mbili kubwa katika kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva.
#HapaNiNyumbani#HappyCrownMediaYear
Sababu ya @officialalikiba kuanzisha media, hiki ndicho kilicho mpa nguvu ya kuanzisha media ambayo ni nyumbani kwa kila mmoja - Crown Media (TV & Radio)
#20YaKing#CrownMedia