Kipo Bora
A: Uchukue 50Million uanze kujenga nyumba uje uanze kupata kodi 300k monthly
B: Uchukue 35M Uinvest pahali unapata 12% APY ili ujenge hiyo nyumba ya 50M in 3 yrs??
ALLAH awajalie wepesi wote waliokumbwa na ajali ya Kariakoo. Tunamuomba majeruhi wapate nafuu haraka, na wale waliokwama waokolewe wakiwa hai. Kwa waliopoteza mali, In Shaa Allah, awajalieni neema zaidi na riziki kubwa zitakazokuja. Wale waliotangulia mbele za haki awalaze mahali pema peponi na awape rehema zake zisizo na mipaka. Ameen.
Kutuma simu ndani ya Tz kwa Ndege ni 20k-40k, kwa Bus ni 20k inapanda kulingana na thamani ya simu
Nimewahi tuma simu used worth <1M Mbeya.
Kwa ndege ni option nzuri ukipata muda nenda tu terminal 2 jaribu kutuma.