@VodacomTanzania Hi, nimejaribu kutuma hela toka acc ya mpesa kwenda bank inashindikana toka last week nimepiga simu kuongea na customer care sijafanikiwa naomba namba ya kuzungumza na customer care direct ila 100 haina majibu.
@Mukie254 Kuna sehemu umenichanganya kidogo, aliwahi kudumu katika uwaziri kwa kipindi cha miaka mi 5 Kati ya 1983-1989 pia alieahi kuwa mkuu wa Mkoa wa mwanza Kati ya 1977-1979, na 1978 alijivua uwaziri... imekaaje hapo!! Inamaana kuwa Waziri na mkuu wa Mkoa at the same time!!?
@LusakoWaKwanza Chakula asubh 500, mchana 2000, jioni 1500= 4000Γ30=120000
Malazi chumba 30000 per month
Maji 3000 per month
Umeme 5000 per month
Nauli 800Γ26 = 20800
Dharura 20000 per month
Total= 178800
Bado kodi ya serikali
Tufanye salary kima cha chini 180000
Atasave nn!!