@BarakaMaviatu Kuna afande mmoja kaandika saa kumi na Moja na dakika arobaini na tatu alfajiri kwa kutumia namba akaandika hivi 11:43 hrs niliishiwa pawa kabisaa
Kupiga kura ni haki ya kila mtanzania, ila kunyang'anya haki ya mtanzania huyo huyo kwa nguvu ndio shida inapoanzia kati ya watawaliwa na mtawala....
@Sativa255@IAMartin_@Roma_Mkatoliki@rollymsouth
Ukiangalia kwa makini sanaa Kwa trending unaona kabisa vyombo vya habari vingi vimepost kuhusu kauli ya jeshi kujihusisha na siasa lkn mwanajeshi aliyesababisha jeshi litoe kauli hiyo hawajampost hii kitaalamu inaitwa handicap 3-way away win...
@Sativa255@Roma_Mkatoliki