Nimenotice naishi a very lonely life. Sidhani niko na real friends. Contact list iko tu na wasee tunajuana. Apart from wazazi hakuna mtu anaweza nicall kunijulia hali ama salamu tu. Nikiona call najuanga kuna kitu msee anataka. Is this normal for men ama ni pekeyangu?