One love kwa wanangu wote tunaoandika “OKTOBA TUNATOKA” bila kuogopa.
Heshima nyingi pia kwa wale wanaoshindwa kutupost wanatufuata DM kutupa moyo kuendelea kukaza na kuahidi watatoka.
Heshima pia kwa wale wanaowauza MABOYA wakoloni kwa kusema “OKTOBA TNTK” tunawaelewa wanetu.
Heshima pia kwa wale wanaoshindwa kusema lolote zaidi ya kuweka ngoma yetu ya UKOMBOZI “MAKOMBOLELO” tunawaelewa.
29.10 TUTAKUWA WENGI SANA BARABARANI HILO NDIO NINALOWEZA KUSEMA KWASASA MAANA TUNA SAPOTI YA WANANCHI WENGI SANA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@mzeewakaliua Hii picha kila mmoja aweke ukutani kwake maana hii ndio siku tulikomesha wanasiasa malaya malaya kama kina mbowe na kwa mara ya kwanza na baada ya miaka 30 ya utapeli wa siasa za umalaya malaya tukapata Viongozi wa kweli LISSU na HECHE na chama cha kweli cha upinzani.