@mangekimambi@Sir_Shuma Lissu hatakuwa na record chafu tutaenda hadi court of appeal hii sham case maana yake kosa la uchochezi linakufa kila uchochezi utakuwa uhaini nchi hii hata rule ya ku establish prima facie case imekuwa disregarded kihuni. Tunaisubiri hio hukumu tuione
Kutoka kuzaliwa Mkoani Singida, safari ya masomo iliyomfikisha hadi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), na baadaye Nje ya Nchi, kupata mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria hadi kuongoza mapambano ya utetezi wa Haki za Binadamu kama Mwanasheria na Wakili aliyejitolea bila malipo kuwasaidia maelfu ya watu...
Kutoka kuwa 'mfuasi wa lazima' wa CCM, kujiunga na NCCR Mageuzi hadi CHADEMA, kuanzia Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Mwanasheria Mkuu, Makamu Mwenyekiti hadi kushinda Uenyekiti katika uchaguzi wa kipekee uliomuondosha aliyekuwa Mwenyekiti wa muda mrefu....
Kutoka kushinda Ubunge, kuwa Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Waziri Kivuli hadi kugombea Urais wa JMT...
Kutoka kushambuliwa kwa risasi na kunusurika mauaji, matibabu ya Dodoma, Nairobi Kenya hadi Ubelgi, huyu anaweza kuwa 'Mzimu unaotembea'
Frank Ruhasha, Waziri Kivuli wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi kutoka Ofisi ya Wasemaji wa Kisekta wa ACT Wazalendo anasema tatizo la Tanzania ni KUMCHUKULIA POA Tundu LISSU, lakini yeye anamtaja kama MPIGANIA HAKI atakayebaki kwenye vitabu vya kihistoria kwa miaka mingi mbele, huku akiamini kuwa ni mshindi wa kila vita aliyopigana.
@AuntieePendo Wanaume huwa tunakuona unavyomtreat mtu anaekupenda na kujitoa kwako vibaya halafu tunajua wewe hujielewi tunakuweka kwenye ka zone kako huku tukitafuta mke wa kuoa.
@RickyJaduong86 Hakuna uhaini pale , hakuna kosa la kuvuruga uchaguzi , wala kosa la kukinukisha, hakuna uhaini hapo. Hii case tutaitumia kuwaondolea hadhi ya ujaji hao kina Ndunguru mda ukifika