Unamfungia Mwamuzi Miezi 6, Wakati Huyo Mfungaji Alipaswa Kufùngiwa Mechi 5. Mamlaka ya HOVYO Ilishindwa Kutoa Adhabu Sababu Jamaa Acheze DERBY. Kwa Niaba Ya Neno La SUGU TAITA, Liwafikie!!
Ubutu wa safu ya ushambuliaji Yanga, unasababishwa na namba 10 kutokuwa Bora. Sio kweli kwamba Dube, Musonda na Mzize hawafungi, ila ni kweli kwamba namba 10 Aziz Ki ameshuka kiwango. Ukiijua hii code utaelewa kwanini Dube, Musonda, Baleke na Mzize wana njaa kiasi gani na goli