@anuskills3@chapo255 Oya, @anuskills3 Mimi nimewahi kaa na mwanamke miaka 10 tukaachana. Nimejifunza mengi mno na kubwa kuliko yote ni Pesa, Asije mtu kutudanganya kwamba amependwa tu bila pesa.
Pia hawa viumbe ni bora muwekeane mkataba wa namna ya kuendesha maisha yenu kabla ya uchumba au ndoa.
@chapo255@anuskills3 Hapana, labda kama sijaelewa. Ila kama unaoa au unakaa nae kwa lengo la kuoa ni kuanzisha familia. Kwahyo tutafute pesa. Dunia na viumbe vyake vinatushepu kwenye njia hizo Bro
@R_issack777@queen_sendiga Mimi raia nawakilisha wengi nyuma yangu, Nafikili ungeeleza hizo faida ingekua vyema kuliko kulalama. Sote tunaijenga Tanzania moja na haki ya kila mmoja kuilewa Nchi yake.
@kabigwa_78 Kwanini? Nafikili nahitaji elimu. Jamaa yangu mkewe alijifungua mtoto njiti na ndani ya saa 24 akaruhusiwa. Bahati mbaya sana broo hakua karibu na familia ilipo. Na ndani ya siku tatu Mkewe akasafili na mtoto kwenda kwao likizo ya uzazi. Hii imekaaje mkuu?
@DullahTheking2 Kaka, Hivi unamfatilia yule dogo anaitwa Bright? Kuna yale mawe mawili yanahitaji baraka zako. Moja amefanya na Best naso - Umasikini Mbaya. Nyingine Amefanya na B2K inaitwa Bora Wewe. Fanya kutubariki na Uzi mmoja tu..!