Kama Israel isingekuwa na airdrome system kusingekuwapo na nchi Inaitwa Israel, maana yamerushwa Makombora zaidi ya 5000 Jana na leo yaliyopenya Ni machache sana
https://t.co/aXnp7o175d
VIDEO: Wapiganaji wa Hamas wadaiwa kuingia Israel kwa kutumia Parachuti, ni katika mkakati wa makusudi katika mgogoro na vita inayoendelea dhidi ya Israel.
#Updates
Umoja wa Afrika AU, umeelezea kusikitishwa na vita mpya iliyoibuka kati kati ya Israeli na Palestina ambapo imetoa wito kwa pande zote mbili kukomesha mara moja uhasama wa kijeshi na kurudi kwenye meza ya mazungumzo bila masharti na kutekeleza mpango wa kuunda Nchi mbili.
Mwenyekiti wa AU Moussa Faki Mahamat amesema mzozo huo utakuwa na athari mbaya kwa maisha Watu ambapo amesema sababu ya vita hiyo ni kukataliwa kwa haki za kimsingi za Watu wa Palestina, hususani ile ya kuwa na Serikali huru.
Hamas Jumamosi hii ilitekeleza shambulio la kushtukiza ambalo lilishirikisha Wapiganaji kadhaa walioingia katika miji ya Israeli karibu na ukanda wa Gaza na baadaye kukafutiwa na mashambulizi makali ya roketi na vurugu zinazoendelea hadi leo Jumapili.
Wizara ya Afya ya Palestina imesema Wapalestina 313 wameuawa na karibu 2,000 wamejeruhiwa huko Gaza kufuatia mashambulizi ya anga ya kulipiza kisasi kutoka Israel tangu Jumamosi huku Wizara ya Afya ya Israel ikisema hadi kufikia sasa Waisraeli 300 wameuawa na wengine wengi kutekwa nyara, pia Watu 2,000 wanatibiwa Hospitali na 19 kati yao ni mahututi.
#MillardAyoUPDATES
Waziri wa Elimu wa Ufaransa Gabriel Attal ametangaza kuwa Nchi hiyo imelazimika kufunga Shule saba zinazowapokea Wanafunzi 1,500 baada ya kuvamiwa na kunguni.
Mtandao wa DW Kiswahili umeripoti kuwa maema wiki hii, Mamlaka ya Paris ilitangaza kufungwa kwa Shule mbili kwa sababu ya kunguni, moja huko Marseille na nyingine Villefranche-sur-Saone nje kidogo ya Mji wa kusini mashariki wa Lyon.
Serikali ya Ufaransa imefanya mfululizo wa mikutano wiki hii kuchunguza idadi inayoongezeka ya matukio ya kunguni, wakati Nchi hiyo ikiandaa Kombe la Dunia la Rugby na ambayo itakuwa Mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki hapo mwakani.
Serikali mjini Paris imelazimika sasa kuingilia kati kupambana na kunguni hao ambapo Waziri Mkuu wa Ufaransa Elisabeth Borne ameitisha kikao cha Baraza la Mawaziri kujadili namna ya kupambana na kunguni.
Waziri wa Usafiri Clement Beaune pia amekutana na makampuni ya usafirishaji kubuni mpango wa kufuatilia na kunyunyizia dawa vyombo vya usafiri wa umma na kujaribu kupunguza wasiwasi.
#MillardAyoUPDATES
🦅KWANINI ISRAEL NA PALESTINA WANAPIGANA KILA KUKICHA
🧵🧵🧵
Kama hujui ki undani vita ya mara kwa mara ya israel na palestina huu uzi nimekuwekea mambo kibao ili upate kuelewa ki undani zaidi
Shuka na mimi
Haya yote yanaletwa na wanasiasa wanasiasa sio watu wa kuwasiliza hata kidogo wenyewe ndo wamefanya nchi na Dunia Hali iwe Ngumu
Ilaaniwe siasa na wanasiasa wote duniani🚮