@bbcswahili Acha tu Gwajima aendelee kuhoji maana chanjo yenyewe hii imekaa kiutatautata, kwanza imetengenezwa kwa muda mfupi hakuna sehemu ilipofanyiwa majaribio yaonekane madhara ya muda mfupi na madhara ya muda mrefu, alafu hapohapo serikari inajitoa endapo mtu utapata madhara ukichanjwa.