📌 ZIARA YA SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DAMISO) BUNGENI, DODOMA. Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha Bahari Dar es Salaam pamoja na baadhi ya wawakilishi wa wanafunzi walifanya ziara ya kulitembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe
@MdiTanzania ulipaji ada kabla ya 17 Julai 2025.
Waziri wa Elimu DAMISO aliahidi kushirikiana na uongozi wa chuo kutatua hoja za wanafunzi kwa wakati. Kikao kimeacha alama chanya ya mshikamano kati ya wanafunzi na uongozi wa idara.
📍Dar es Salaam, 11 Julai 2025
Eng. Mkwande, Mkuu wa Idara ya Uhandisi wa Meli, ameongoza kikao muhimu na Waziri wa Elimu wa DAMISO, Regarn Richard Sironga, pamoja na wawakilishi wa wanafunzi wa idara hiyo, kujadili changamoto na maendeleo ya mazingira ya kujifunzia.
@MdiTanzania Kikao kilijikita kwenye maboresho ya mitaala, ushiriki wa vitendo, na taarifa ya maendeleo ya miundombinu ya kisasa inayoongeza ubora wa elimu ya baharini. Eng. Mkwande alieleza mipango ya ununuzi wa vifaa vya kisasa kama kompyuta za simulation na printer za 3D. Pia alisisitiza