@BrianOchieng_6@AokoOtieno_ Hii statement ilinikatisia sana very hypocritical ndio mambo walikua wakifanyia kinara since 2007....election ilikua ya ukwel ilikua ya 2002 izo zingine zimekuanga ni uwizi tupu
@AokoOtieno_ Uyu anacheza na akili za watu sana huyu🚮🚮🚮after 2002 ndio mchezo wamekuanga wakicheza sahii sasa anajifanya truthful bladifakin hypocrate...ruto ata akichukua 2027 ni sawa🙂magi ok dhano jochiende lilo...
@AokoOtieno_ bribery and corruption is an institution by itself nivile bado haijawai kua officiated🙂lets speak the truth...kuna wasee washabebewa ufala na itakua tu ivo vile umesema 😂term nikama ni mbili opposition walai imechanganyikiwa bure kabisa watu wazoee tu.