Vitu vingi tunavyovifanya, tunavifanya kwa sababu tuko very limited katika options zetu
Tunafanya vile vitu vilivyo ndani ya bajeti zetu lakini siyo kwamba tunavipenda
Siku tukiwa na pesa, tutagundua kuna vitu vingi vizuri zaidi tunavyohitaji, na tutaanza kuvifanya / kuvinunua
Imefika hatua sasa hakuna yeyote anaeamini kuwa Mwanaume anaweza kuwa na Mwanamke mmoja kwenye mahusiano na akatulia..
Upotoshaji mkubwa na mbaya sana huu..