By the way, @fgachuri , uko kwa ile group ya Kupepeta Ball?
Nilisahau kukutoa huko pia. Wacha niscroll kidogo nimalize kazi. Ama unishow tu, we make it easier kukutoa kwa group zote
Na tafadhali, kama uko na link ya hii WhatsApp group ya "Ujinga na Uwongo Kila Siku." Share with me kwa inbox.
Naona creatives zake huwa zinatoka mapema kuliko notifications zangu. Sitaki kupitwa na agenda za kila siku.
Umbea, walinishow, haitaki uvivu.
Sina mengi ya kusema kwa sasa.