@HKigwangalla Yaani Mimi sipendagi haya maujinga,"what goes around comes around". Kuna watu walilalamika Sana wakati wenu mkiwa barazani, hamkujali hamkusikiliza na nyinyi leo mnaanza kutoa milio mnaomba huruma kwa waliowahi kulia. Yaani mtulie , Mungu atatenda muujiza
@IAMartin_ Watu bwana. Najaribu kuwaza hata Kama ndo CHADEMA ingekuwa Ina maanisha ivo . Yaani watu wanapata wapi ujasiri kulalamikia idadi ya wabunge wakufikirika wakati Kuna mambo ya ufisadi ambayo yapo na hawajawahi kuwa na uchungu na kulalamika?