Dah! Hili zoezi la kuhakiki kadi za NMB Benki, sio mchezo. Mtu unafika benki saa 12 asubuhi ukiamini wewe ndio wa kwanza, unashangaa una wakuta watu kama 90 hivi.
Ukimuuliza wa kwanza kufika amefika saa ngapi ana kwambia amekuja saa 10 alfajiri.π
@Rydx_017 @__abdulazack @athanas_pius@JayleenRickie@MissChelsea1221@kapeto98@kabigwa_78 Mwanaume kajitahidi sana kuificha aibu ambayo alikuwa nayo mke wake. Na hii ndio inatakiwa kama mmoja kati yenu ana ona aibu basi mmoja anapaswa kutawala jukwaa kwaajili ya mwenzie.
Nasubiri ya kwangu sasa.π
Marko 8: 29-30
"Naye akawauliza, Na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu, akamwambia, Wewe ndiwe Kristo.
Akawaonya wasimwambie mtu habari zake."
NB; Sasa Wewe Endelea Kuwaambia Watu, Kuhusu Habari Zako.π
...Ifikirie familia yako leo na kila siku. Usiruhusu ulimwengu wenye shughuli nyingi ukuzuie kuonyesha, jinsi unavyoipenda na kuithamini familia yako.π«