Meja General Isamhuyo ndio Uwanja pekee wenye hadhi ya kuchezewa mchezo wa Kariakoo Derby baada ya Benjamini Mkapa
Bahati mbaya sana wote wanao ukataa Uwanja wa Meja Isamhuyo hawajafanya utafiti wa hali ya Viwanja Nchini Tanzania
Acha nikuambie kwanini Meja Isamhuyo ni chaguo sahihi
Azam Complex inaingiza mashabiki Elfu 4 tu, Tofauti ya Mashabiki Elfu 6 na Meja Isamhuyo, Hivyo tungepeleka mechi Azam Complex tungewaminya fursa mashabiki wengi, mfano Mechi ya Azam na Simba mashabiki wengi walibaki nje licha kununua Tiketi wakaambiwa Uwanja umejaa
Amaan Zanzibar inaingiza Mashabiki Elfu 14, tofauti ya yake na Isamhuyo ni Mashabiki wa Elfu 4 tuu hiyo ni tofauti ndogo sana
Unaweza kuitaja Kirumba Mwanza, au Sheikh Amri Abeid Arusha, Sokoine Mbeya vyote hivyo vinaingiza mashabiki chini ya Elfu 13 bado tuko pale pale kwenye idadi ndogo ya watazamaji
Kama Hitoshi kutokana na hali ya hewa hivi sasa, Viwanja hivyo havitabiriki sasa kwanini tuiweke Derby rehani??
Ukweli mwingine ambao hauzungumzwi ni kwamba Meja Isamhuyo ndio kiwanja cha pili Tanzania kuwa na Pitch nzuri ya Nyasi Asilia baada ya Benjamini Mkapa
Kwa hoja hiyo kwanini mechi namba moja ya Nchi isipigwe kwenye kiwanja cha pili kwa hadhi katika Taifa letu?
Karibuni sana Meja Isamuhyo naaamini mtafurahi mkifika!!
🚨Mounrinho on Chelsea sacking Liam:
🗣️ Mounrinho: Chelsea is a football club I've known for years, I've managed them twice in my career, won several titles and set so Many records. I remember when Chelsea newly got Liam Rosenior, I told their board that he's an average coach and none of them payed attention to me.
You can not bring in a an average coach that haven't win any trophy in his career to coach a very big team like Chelsea, Chelsea board are to be blamed for this, Liam is not Chelsea standard, he only sits down in a chair with his glass like a professor and just keep on writing with not tactics and no good relationship with his players.
@RevocatusMagum1 MBONA WAKATI WA COVID-19 MECHI ZILICHEZWA BILA MASHABIKI, NYIE KWA HII MECHI MOJA TU NDIO AMSIKII RADHA 😂 KAMA MANATAKA TUWAPE RADHA SEMENI....😂😂