@kigogo2014 Lakini huyu kigogo yuko upande gani kipindi cha magufuli ulimsema vibaya sana ..sasa hivi unajifanya ndio msemaje wao mkuu mungu yupo..ngoja tuone?
@kigogo2014 Huyo mnaomuita kigogo anamuda mfupi kazi yake ni chuki kwa viongozi ..sasa hivi kajisaulidha alivokuwa anamshambulia kiongozi mkuu wa nchi ..
Meno la leo*Waebrania 4:12*
Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.