Kindly Retweet ๐
*TOYOTA HARRIER NEW (CMG)*
2360 cc
2Az Engine
Full Ac
Full Documents
Gari Mpyaa 100%
Bei 15.8 mil
Kama Unauza Gari Lako Nitumie
*Darcity_magari*
*0625004475*
Kama umeipta hiki chuo
Kuanzia diploma ya CO na sasa uko na degree (MD)
Niseme tu umepigana sana mpaka kufikia intern au kazini
@Dr_salumu@drmlalukoMD@kalegamyeh@kabujeDr
FAHAMU CHANZO CHAMIMBA KUHARIBIKA (MISCARRIAGE)
Uzi ๐งต
Retweet ๐ kuokoa maisha ya mmoja wetu.
Mimba kuharibika au miscarriage ni kitendo cha kupoteza kichanga kwa mama mjamzito kabla ya muda wa kujifungua kawadia.
๐
UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KATIKA SEHEMU MBALI MBALI ZA MWILII.
Uzi๐งต
Retweet ๏ฟฝ๏ฟฝ kuokoa maisha ya kijana mmoja.๐
FAHAMU MADHARA YA SIGARA
๐ญ Saratani (CANCER)
๐ญ Magonjwa sugu (CHRONIC DISEASE)
๐
โ Usipuuze dalili hizi za magonjwa ya afya ya akili, muone mtaalamu
1. Kupoteza hamu ya mahusiano na watu
2. Kuhisi huzuni mara kwa mara
3. Kuwa na hofu, kubadilika hisia mara kwa mara
4. Kukasirika haraka
5. Kushindwa kufanya kazi au kusoma
6. Kukosa usingizi
Vyakula bora vinavyokukinga na bawasiri
1. ๐ฅฆ Mboga za majani
2. ๐ Matunda
3. ๐ฑ Maharage
4. ๐พ Nafaka Nzima
5. ๐ฐ Kunywa Maji Mengi
๐ Hii ni kwasababu vina wingi wa nyuzinyuzi ambavyo vikishirikiana na maji husaidia kulainisha choo chako na kupunguza kujisaidia kwa nguvu.
Serikali ichukue hatua kali dhidi ya wote watakaobainika kuhusika na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto ili kukomesha vitendo hivyo ndani na nje ya shule.
#Tuwalinde