@AllyAssed13070 Maisha ya utafutaji ni uthubutu. Uoga wako ndiyo umasikini wako. Kwa elimu yake ya standard 7 hakuogopa alipo ona fursa, aliifuata kwa miguu yote mimwili+akili ya kufikiri kufanya maamuzi, mikono.
@riverkwai808@Drudysseus@Ofisiya_Rais_MU Kivyovyote vile hizo nafas wanao teuliwa ni wale ambao tayar wapo kwenye mfumo, regardless ni mtoto wa aliyewahi kuwa kigogo au siyo. Haiwez kuwa hata siku moja nafasi kama hizo wakapewa muuza mitumba Karume, winga K/koo, au mwalimu, daktari, mhasibu wajuzi kazin kisa ana degree.