Ngumu kuelewa, ngumu kuamini. Watoto wadogo wakiinuliwa na kukabidhiwa kwa wanajeshi wa Marekani njee ya uzio wa Uwanja wa Ndege wa Kabul. Hakuna anayejua wanapelekwa Wapi, hakuna anayejua Wazazi wao wataenda nao au laa lakini zote zinaonesha watu wenye kiu ya kuwakimbia Taliban
@millardayo Shitaka Katengenezewa Na Nanii!?
Kwani nani Aalie Mshitaki Sabaya!?
Kwani Ushaidi haUpo!?
Hii CcM isitufanye sisi pumbuwani
Tunajua Sabaya Mshampanga Namna y Kujitetea hap Mnataka kugeuza Mambo Sabaya AonekAne hana Kosa
Fine Mwaachieni Sio Mpak Mtudanganye ss tunaelew Mwachieni🚮