CLAUDE + YouTube = $$$$
CLAUDE + YouTube = $$$$
CLAUDE + YouTube = $$$$
No degree. No camera. No editing skills.
Even a 15-year-old can do this.
I'm going to show you exactly how.
9 prompts that print money on YouTube 👇
Stop using LinkedIn, Upwork, and Fiverr for remote jobs.
That's super outdated!!!
Here are 12 remote jobs where you can get paid in USD from anywhere.
Open Thread ↓
‼️ALERT‼️
Kama mtakumbuka vizuri miaka miwili iliyopita Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) iliwakamata raia wawili wenye asili ya Asia na wenzao ambao ni Wafanyabiasha wa dawa za kulevya maeneo ya kigamboni wakiwa na mzigo wa dawa za kulevya tani 4, kama mnavoona hapa kwenye hii taarifa ambayo iliripotiwa na media mbalimbali ndani na njee ya Tanzania.
Sasa iko hivi baada ya Thobias Mwesiga kuondolewa kwenye Dawati la Siasa na kuhamishiwa kwenye Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya ambako ni afisa wa kawaida.
Mwesiga alipoanza kazi kama afisa wa DCEA alipitia mafaili ya watu ambao walishakamatwa na kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za Madawa ya kulevya then akachagua kesi kubwa kubwa za Wafanyabiasha wa Dawa za kulevya, wakiwemo hao wenye Asili ya Asia ambapo Mwesiga alituma Vijana wake Gereza la Keko, Ukonga na Segerea ambako hao watu wapo ili wakazungumze nao
Kwenye mazungumzo yao Mwesiga aliwaomba hao Wafanyabiasha wampatie kiasi cha pesa then yeye atafanya mafekeche ili ofisi ya DPP iwafuatie kesi za Madawa ya kulevya ambazo zinawakambili, jamaa wakatoa pesa nyingi sana baada ya kutoa pesa sasa hivi Mwesiga anashida kwenye kirido za ofisi ya DPP kutembeza mgao kwa baadhi ya maafisa ili hao wauza madawa wafutiwe kesi.
Vijana wa Mwesiga wanawambia watuhumiwa yani wauza Madawa ya kulevya wenye kesi kubwa kwamba Mwesiga ni mtu mkubwa sana , alikuwa Ikulu so anaconnection kubwa Serikalini na soon atapandishwa cheo na Mkurungenzi wa DCEA so wauza madawa kwasababu wako desperate na kutoka jela wanaamini na kutoa pesa zao.
Mpaka sasa keshakusanya pesa nyingi sana kutoka kwa hao Watuhumiwa wa Madawa ya kulevya kupitia familia zao hivyo kuanzia sasa mkiona DPP kawafutia kesi hawa Wauza madawa ya kulevya basi mjue, mchongo wa Mwesiga umetiki.
Mwesiga akiwa kwenye Dawati la Siasa aliratibu na kutoa maelekezo kwa akina Mafwele wakateka na kupoteza mamia ya ndugu zetu, ameona haitoshi sasa hivi anapambana Wauaza madawa ya kulevya wafutiwe kesi kiunjanja ujanja ili warudi Mtaani waendelee kuuwa vijana wenzetu na hayo madawa yao.
Kwake yeye pesa inathamani kubwa kuliko afya na uhai watu ndo maana hanaga huruma.
I'm shocked by how many people still don’t use AI on their phones.
It can make your life easier and boost overall productivity.
Here are 21 ways to use AI on your phone (all free): 👇