Matapeli Kwenye Picha Ya Pamoja😁
Hawa Nao Hamna Mpira Walio Cheza Sema Millenials Walidanganywa Mno😅🙌🙌
Au Huenda Millenials Walikua Hawajui Maana Ya Mpira Mzuri😅
Ronaldo anatukanwa kwa mambo ambayo wengine husifiwa kwayo, hasa Messi.
Chukua jina la utani "Penaldo." Ukisikia hivyo, utafikiri Ronaldo alijenga maisha yake yote kwa kufunga penalti.
Kichekesho ni kwamba Ronaldo hakuanza kama mfungaji bora wa penalti. Mapema katika career yake, penalti zilikuwa udhaifu. Alikosa penalti muhimu, ikiwa ni pamoja na moja katika fainali ya Ligi ya Mabingwa ya 2008 dhidi ya Chelsea. Wakati huo, hakuitwa "Penaldo." Alidhihakiwa na kukosolewa.
Kilichofuata ni kile ambacho Ronaldo amefanya katika taaluma yake yote: alitambua udhaifu na alifanya kazi bila kuchoka hadi ukawa nguvu. Alitoka kuwa mfungaji asiye thabiti wa penalti hadi mmoja wa wachezaji bora zaidi ambao mchezo umewahi kuona.
Lakini badala ya kusifiwa kwa kuboresha dosari katika mchezo wake, wakosoaji walianza kutumia "Penaldo" kudogosha mafanikio yake.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba Messi anashikilia rekodi ya penalti nyingi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia, historia ya Ligi ya Mabingwa, na historia ya La Liga. Hata hivyo, lebo ya "Penaldo" imehifadhiwa karibu kwa ajili ya Ronaldo pekee.
Kadri idadi ya mabao ya Ronaldo ilivyozidi kuwa ngumu kupuuzwa, mjadala wa mpira wa miguu ghafla ukawa na msisimko wa "non-penalty goals" Ilihisi kama mazungumzo yaliendelea kubadilika kila Ronaldo alipofanya vizuri. Mabao ya kwanza yalihesabiwa. Kisha aina ya mabao yakaanza kuhesabiwa.
Ronaldo alidhihakiwa alipokosa penalti. Alidhihakiwa alipopiga penalti. Na kudhihakiwa alipokuwa mmoja wa wapiga penalti wakubwa katika historia ya mpira wa miguu.
Kwa mashabiki wengi, ndiyo maana viwango havijawahi kuhisi vivyo hivyo. Hadithi ya Ronaldo ni moja ya kugeuza udhaifu kuwa nguvu, na kuona nguvu hizo zikitumika dhidi yake katika mjadala kuhusu ukuu.
Huku Brussels “BUNGE LA ULAYA” leo linapiga kura wanangu.🔥🙌🏿
Huyu DIKTETA JIKE dunia imemkataa kama MAITI YA FARAO.
TUTAKUWEPO KUSHEREKEA HAPA HAPA.
REPOST 200
@PeterDafi@AbroadTanzania Unaujua uhuni wewe...
Au hisia zimekusukuma kuandika mkuu..?
Kina nani wanajiita...?
Tuwe mfano kwa nani labda..?
Hizo mamlaka na sheria na katiba nani anazikiuka ....
Tulia punguza hisia nabushabiki kama haina ulazima pumzisha keyboard🚮
Mimi Ndio Maana Napendaga KuTalk Back Nitoe Ya Rohoni Kiishe.Kuna Mdada Wa Mpesa Kanikoromea Nikajiambia Embu Leo Nyamaza. Mpaka Saa Hii Namuwaza Natamani Nirudi Nikagombane Ndio Nijiskie Vizuri 😭🤣
‼️🚨TUMEJUA MPANGO WAO OVU‼️
Msione huyu Sisty anahangaika kama kuku anayetaka kutaga - KATUMWA!
Wanalazimika kumwachia Tundu Lissu ila wameongea na kukubaliana akitoka Lissu akose platform ya kuongea na umma - so wameazimia kuifungia Chadema kama si kuifuta!
Tena msibishe nyie madhulmati wauaji maana vikao mkikaa tunapata details zote! Na hii niligusia ila jana au juzi kikao ndo kimeamua rasmi huu upumbavu!
Ni hivi: ACHANENI na huu uovu! Lissu mwachieni na CHADEMA acheni iendelee na kazi!
Sisi tunataka serikali na bunge haramu wote muondoke! Tuanze upyaa! Uchaguzi huru, haki na uwajibikaji kwa ajili ya mauaji ya Oct 2025 na Katiba Mpya
These are our demands kama wananchi and they are non negotiable!
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
@EdgarGervace@SeekNaturalLife Hapo gwajima wenu hawagusi hao wala hata kujiongelesha hato weza 🙌🏽🙌🏽 Ila sasa atokee dem aseme anatoa trako Chapu anamtafta Ila hawa mbwa walio jaaa kila Kona Hana time nao
Kama ulikula hela ya Ford Foundation haraka sana sogea Dm nikupe hii package inaitwa chamng’aza hii inakwenda kutoa nuksi zote mwili mwako laaasivyo utakaangwa sana🙁
Jana kuna Bar wamefanya grand opening hapa kisiwani kigamboni kwetu.
Yule msenge kasherehekea na mabahamedi😸wake tu. Sasa tunasemaje waendele kunywa hizo bia wenyewe
Sisi tumekaa hapa Daddy’s,Escrow na G&G
Kwanza Bar gani imehengwa kama bwalo la chakula🚮🤣