🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward.
This moment belongs to every mother who buried a child, every family still searching for answers, every victim of violence, every religious leader who stood firm, every journalist who spoke the truth, every activist who refused to be intimidated, and every Tanzanian who never stopped believing that accountability matters.
This is not the finish line.
But today, the world heard Tanzania.
Today, truth prevailed over propaganda.
Today, hope prevailed over fear.
Today, we moved one step closer to justice and accountability.
To everyone who prayed, advocated, testified, contacted congressional offices, shared evidence, and refused to look away-thank you.
The journey continues, but today we pause to thank God.
Justice delayed is not justice denied.
Safari bado inaendelea- ila leo haki imeshinda💪🏽
Thank you also to all senates and their staffers that heard our cries.
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
🚨 HABARI NJEMA: TUMEPATA USHINDI LEO!
Hatukukata tamaa. Hatukukaa kimya.
Leo tumepiga hatua moja muhimu kuelekea haki.
Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani (Senate Foreign Relations Committee) na sasa unasonga mbele katika hatua zinazofuata.
Ushindi huu ni wa kila mama aliyempoteza mwanae, kila familia ambayo bado inatafuta majibu, kila mwathirika wa ukatili, kila kiongozi wa dini aliyesimama imara, kila mwanahabari aliyesema ukweli, kila mwanaharakati aliyekataa kutishwa, na kila Mtanzania ambaye hakuwahi kuacha kuamini kwamba uwajibikaji ni muhimu.
Huu si mwisho wa safari.
Lakini leo, dunia imeisikia Tanzania.
Leo, ukweli umeshinda propaganda. (Niliwaambia ile picha ya mkono wa bendera ya Tanzania ikishikana na ya marekani yaliyochapishwa na hayo magazeti yaliyonunuliwa ni propaganda- leo si kimewaka?)
Leo, matumaini yameshinda hofu.
Leo, tumesogea hatua moja karibu zaidi na haki na uwajibikaji.
Kwa kila aliyeomba, aliyehamasisha, aliyetoa ushuhuda, aliyewasiliana na viongozi wa Marekani, aliyeshiriki ushahidi, na aliyekataa kugeuza macho yake pembeni -asanteni sana.
Safari bado inaendelea, lakini leo tunasimama na kumshukuru Mungu.
Haki iliyocheleweshwa si haki iliyonyimwa.
Now muachieni na Lissu
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
#justiceforTanzania
Tuendelee kuwa na amani ✊🏽
Mzigo wa magari ya kijeshi tuliyoona na kuambiwa inaenda Malawi imeshavuka mpaka na leo yaneonekana upande wa Malawi!
Magari yako kama 20 na yanasubiri kuendelea na safari baada ya kuvuka mpaka
Tunaendelea kufuatilia kila hatua!
Aisee JW msitusaliti a 7/7 waacheni akina Abdul wajichanganye nyie kaeni pembeni! Taifa kwanza!
Hadi #TutaelewanaTu
Baada ya kurejea CHADEMA na kushuhudia mapokezi makubwa kutoka kwa wananchi, nimepata amani ya nafsi na moyo. Upendo, imani na matumaini mliyonionesha ni uthibitisho kwamba siasa ni kuhusu watu na mahusiano ya kweli kati ya viongozi na wananchi. Nawashukuru sana wana Iringa na Watanzania wote kwa mapokezi haya ya kihistoria. Nitabaki kuwa mtumishi wa watu, nikisimama upande wa haki, maendeleo na ustawi wa wananchi.
Rev Peter Simon Msigwa
‼️ABDUL ADAIWA KUONGOZA MSAFARA WA KUUZA DHAHABU ZETU QATAR‼️
Amkeni watanzania! Amkeni Watanganyika! Huko ndani taarifa zinavuja maana wazalendo wamechefukwa!
Abdul Ameir hana cheo chochote nchi hii ila wadau wanaeleza kuwa aliongoza msafara wa kwenda kuuza gold reserve zetu Qatar! Hawa wengine akiwemo gavana mbona wanakubali kuongozwa na muuza natairi wa Kariakoo kwenye mambo nyeti? Fedha zilienda hazina au mfuko wa mama?
Sasa ndo tujue kuna uozo wa level gani huko ndani! Nchi inaongozwa kama kiosk ya Kizimkazi!
Tuweni serious! Mnafikiri haya mambo naandika tu? Mambo mengine mazito yanakuja kuanikwa hamtakaa kuamini! Mengine tukiweka tutatafutana!
7/7 maandamano ni non negotiable maana bila mabadiliko TUMEKWISHA!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
‼️🚨WAMEUZA TANI ZA DHAHABU ‼️
Watu wamechafukwaaa! Wanafunguka!
Naelezwa zaidi:
👉🏽Mauzo ya dhahabu zetu za akiba zilifanyika mwezi wa pili na
👉🏽Abdul alikuwa si tu head of delegation ila alikuwa broker na alilipwa % ya mauzo
👉🏽kiasi cha dhahabu kilichouzwa ni TANI kadhaa siyo kilo - ELEWA tani 1 =Kilo 1,000 na jumla ilikuwa tani 3-4 au zaidi!
👉🏽 Wizara ya Fedha haikuwa na mwakilishi kwenye huu msafara na haikuhusishwa wanaisikiasikia tu 🙄
Kuna mengine tutaleta maana hali ni tete!
Narudia Watanganyika kwenye mfumo mko wapi? Mnamwogopa nini huyu kimama na mtoto wake?
Na nyie mapolisi mnaishi nyumba za bati mnatuua na kututeka kwa ajili ya hawa wezi?
Mnatia hasira! Mnakuwa waoga na mnatutunishia misuli huku nchi inaliwa na wachache!
Amkeni!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
‼️TAARIFA KWA UMMA‼️
Watu waliojitambulisha kuwa ni police wamefika nyumbani kwa Katibu wa Kanda ya Serengeti Mhe. @jacksonmnyawam2 wamemchukuwa na kuondoka nae wanasema walikuwa wanamhitaji kituo cha police Shinyanga mmoja wa Polisi hao amejitambulisha kwa jina la Masoud
Wamemchukuwa muda wa saa 21:08 akiwa nje ya geti lake wakati anataka kuingiza gari lake ndani nilikuwa naongea nae akiwa ananipa mrejesho wa uchaguzi wa Mkoa wa Shinyanga na ratiba ya chama ya kesho ya Mkoa wa Simiyu.
Lucas Ngoto @lucas_ngoto
Mwenyekiti wa Kanda Serengeti.
We Kombo ulifikiri ukiingilia New York ndo hatutajua umeingia US?
Sasa maliza visit yako mapema utoke - maana kama kuna ban wakitangaza ukiwa ndani utabebwa na wale ICE 😁 na hawana adabu wale!
Shauri zako
Eniwei #TutaelewanaTu
@mshambuliaji Kauli mbaya sana hii toka kwa kiongozi,unawatishaje wananchi unaowaongoza?Kama hawawataki si muachane nao kiroho safi kwanini utishie kuwapiga/kuwauwa kama mlivyofanya october 29?
@GeorgeN40513@HildaNewton21 Nadhani ndio maana mwanasheria wa Chadema akasema wasubiri majibu ndani ya siku 21.Hapo kuna mtego kwa aliyefukuzwa uanachama ndani ya siku zake zile za kukata rufaa alizopewa chamani.
#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_WA_MALI_ZA_CHADEMA
Said Issa Mohamed na mwenzake VS Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHadema Civil Case No. 13832/2026.
Kesi iko mbele ya Mh. Jaji Awamu Mbagwa.
Mahakama inaanza.
Baada ya ile kesi ya mwanzo kufutwa na Mahakama akina Said Issa Wamefungua kesi nyingine kuhusu mgawanyo wa Mali za Chadema.
Anasimama Dr. Rugemeleza Nshala anasema kwa upande wa CHADEMA niko mimi pamoja na:
Hekima Mwasipu
Deogratias Mahinyila
Gaston Garubindi
Paul Kisabo.
Tunaiwakilisha Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama.
Anasimama Byabusha anajitambulisha na kusema yupo na Rajab Marijan wanawawakilisha wadai ambao ni akina Said Issa.
Byabusha anasema kesi ilikuja kwa ajili ya kutajwa. Leo ni mara ya kwanza na tulishawapatia hati ya madai wenzetu lakini hawajajibu.
Anasimama Dr. Nshala anasema ni kweli wametupatia lakini bado tuko ndani ya siku 21 za kujibu madai haya. Kwahiyo tutajibu ndani ya muda.
Jaji anauliza karani ije tarehe ngapi?
Jaji anasema sasa tukutane Tar. 08/07/2026 saa nne asubuhi.
Mahakama imeahirishwa inapigwa Courttttt tunatoka.
Machawa chali 😁 Yaani picha hii wakaenda kumwuzia kimama kuwa sasa mambo safi Marekani kumbe mzee wa Msoga anapiga stori za South Sudan! Naona wamarekani wamekata mzizi wa fitna!
#TutaelewanaTu
How it started…. How it’s going…
Sunday best. 🙏🏾
Before the busy week begins, I’m asking every prayer warrior to lift Tanzania in prayer this Wednesday.
Pray for wisdom.
Pray for truth.
Pray for favors (on the partisan bill)
Pray for justice.
Pray without ceasing.
God is able.
More weekend images on Instagram
https://t.co/wTcES1c3mq