Kwenye EXCLUSIVE ya Dar24 Media tumempata Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi aliyewahi kuhudumu nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar Es Salaam, Mzee Ramadhan Madabida.
Atafunguka ya moyoni kuhusu maisha yake ndani ya CCM na yaliyomkuta kwenye siasa.
Jumatano Mei 10,2023