Every shot, every pass, every play counts tonight!. It's Game Three.
Game ya tatu leo. Njoo tuendelee kuhesabu pamoja.
Hatari hatari hatari lakini salama.
Our President, together with the President of Urunani, met to strengthen and expand our partnership for the future.
We extend our best wishes to Urunani as they embark on their journey in the Road to BAL and the Elite 16. Wishing them great success ahead.
Rais wetu pamoja na Rais wa Urunani wamekutana na kupanga kuongeza ushirikiano kwa siku za mbeleni. Na pia tunawatakia kila la heri Urunani katika safari yao ya Road to BAL na Elite 16.