In order to check if you are eligible simply visit:
➡️ https://t.co/9CZF80rQDi
Our eligibility checker will calculate the estimated claim for each holder. It will depend on holdings, on-chain transactions and a few more parameters.
The time has come…
Something monumental is underway.
The $DARK distribution has started.
Only those who move now will seize theirs.
More information down below. 👇
Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imethibitisha kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kilichotokea leo Jumapili, Aprili 13, 2025 baada ya kupata ajali ya Gari katika Wilaya ya Bunda Mkoani Mara.
Kupitia taarifa rasmi TANESCO imetoa pole kwa Familia ya Marehemu Ndugu, Jamaa, Wafanyakazi wote wa Shirika hilo pamoja na Watanzania kwa ujumla, ikieleza kuwa kifo cha Mhandisi Nyamo-Hanga ni msiba mkubwa kwa Taifa
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi na ratiba ya shughuli za maombolezo zitaendelea kutolewa kadri mipango itakavyokamilika limeeleza shirika hilo.
#MillardAyoUPDATES